Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 12, 2016
Gari la kifahari linalodaiwa kuwa ni la Mbunge wa Iringa Mjini
(Chadema), Mchungaji Peter Msigwa limezua balaa kufuatia mwandishi wetu
kumpigia simu ya kutaka kumuuliza swali ambalo lilitoka kwa wapigakura
wake kufuatia madai kwamba amelinunua gari hilo kwa shilingi milioni mia
mbili.
0 comments:
Post a Comment