Sunday, January 10, 2016


BILIONEA na mmiliki wa makampuni yaliyo chini ya IPP,Regnald Mengi ameibuka na kusema kuwa Tanzania haiwezi kuwa huru hadi hapo itakapo jikpmboa kiuchumi na kudai kuwa ukombozi huo wa kiuchumi utaletwa na watanzania wenyewe .





0 comments:

Post a Comment