Serikali ya Japan kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kutekeleza ujenzi wa Barabara za juu katika makutano ya barabraya Nelson Mandela maeneo ya Tazara kwa awamu tatu.
Taarifa zinasema kuwa mradi huo utasimamaiwa na kampuni ya Sumitomo -Mitsui Constaction Co Limited
0 comments:
Post a Comment