Hizi ni picha za magari kumi anayomiliki mcheza kikapu maarufu wa timu ya Cleveland ‘LeBron James’. Sababu Lebron anafanya kazi miezi sita ndani ya mwaka mmoja amekuwa na wakati mgumu wa kuendesha yote na inasemekana kuna mengine kayasahau kabisa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment