Kama ulikuwa hujui rapa stamina hakuwai kufanya onesho lolote nje ya mipaka ya Tanzania mpaka tarehe 1 ya mwaka mpya wa 2016 alipopata fursa ya kufanya onesho kwenye kisiwa cha malindi nchini Kenya.
Rapa huyo amesema kuwa jinsi wakenya walivyompokea kumemtia moyo sana kwani hakuwa anajua kuwa anakubarika kiasi hicho nchini humo.
“Hamna show iliyonipa moyo kama ile show,nimeanza kujiona atleast nachofanya kinafika na huwezi amini watu walikuwa wanaimba nyimbo baada ya nyimbo,mstari baada ya mstari halafu wana ‘demand’ ngoma nyingine ambazo zilivujaga labda zilivujaga tu….nimefanya hadi nyimbo ambazo sikuwahi hata kuzifanya kwenye majukwaa makubwa ya hapa Tanzania“.
Amebainisha rapa huyo ambaye pia alisema hata kiwango chake cha ulipwaji kwenye onesho hilo ulikuwa juu kuliko hapa Bong
0 comments:
Post a Comment