Thursday, January 14, 2016




 WAKATI watanzania wakiwa katika harakati za kusherekea uhuru kwa kufayanya usafi katika maeneo ya wazi ,rapa mahiri na Rias wa Mazense Madee Alli yeye ameamua kufanya sherehe hizo kuwa tofauti.

Kikawaida imeshazoeleka na hata ndivyo inavyofanyika kwa watu kubeba mafagio na kuingia nayo mitaani,rapa huyu wala hakutaka kujichosha badala yake ameamua kuchukua mashine ya kufagia uwanja na kuanza kuzunguka nayo uani kwake.

A photo posted by Madee Seneda (@madeeali) on 

0 comments:

Post a Comment