Akizungumza
na waandishi wa habari Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Njombe John Temu
alisema kuwa Jumla ya pikipiki 445 na magari 150 yalikamatwa na kukutwa
na makosa na kutozwa tozo.
Hata hivyo amesema kuwa katika oparasheni hiyo kulikuwa kukiangaliwa watu wanao endesha bila leseni, kupakiza abiria zaidi ya mmoja, kutovaa Helmeti kwa pikipiki, kuchanganya abiria na mizigo, mwendo kasi, pamoja na kupakia mizigo hatari.
Ameongeza kuwa madereva wa bodaboda wamekuwa wakipewa elimu mara kadha lakini wamekuwa hawaelewi, na kuongeza kuwa madereva hao wahakikishe kuwa wanafuata sheria za barabarani.

0 comments:
Post a Comment