![]() |
| Kazadi Mwamba alikuwa Golikipa mashuhuri sana wa Zaire aliyekuwa kipa wa kwanza kushiriki World Cup Finals Germany Mwaka 1974. |
![]() |
| Kazadi Mwamba akipambana na Mfungaji maarufu Duniani enzi hizo Mwaka 1974 Jarzinho wa Brazil live. |
![]() |
| Na hii ndio timu nzima ya Taifa ya Zaire The Leopards iliyoshiriki Finali za World Cup Germany Mwaka 1974 ambako Africa iliwakilishwa na timu 2 Zaire na Tunisia. |




0 comments:
Post a Comment