KATUNI juu inaonyesha ni jinsi gani baadhi ya vigogo wa Serikali na mashirika ya umma wanavyoiiibia Serikali kwa kutumia mfumo wa ongezeko la thamani yaani VAT katika baadhi ya manunuzi ya umma.
Tabia hii imekuwa kubwa hali inayopelekea uwepo wa urasimu katika baadhi ya mashirika ya uuma na taasisi za Serikali hapa nchini.
Hii nikusema kuwa jambo hili nalo limekuwa JIPU ambalo linapaswa kutumbuliwa haraka iwezekanavyo

0 comments:
Post a Comment