Posted by Williammalecela.com on Thursday, January 14, 2016
Aliyewahi kuwa mpenzi wa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufa kama Mr Sugu, Faiza Ally, ameamua kufanya kitu tofauti katika jamii baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa pesa zilizo patikana kwa njia ya kununua tiketi kwenye siku yake ya kuzaliwa atazielekeza kusaidia watoto yatima.
0 comments:
Post a Comment