Serikali ya Japani itashirikiana na Serikali ya Tanzania kujenga barabra za juu katika makutano ya Tazara jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza foleni ya magari jijini Dar es Salaam
Mradi huo utajengwa kwa awamu tatu chini ya mkandarasi Sumitomo-Mitsui Construction CO.LTD
0 comments:
Post a Comment