Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 23, 2016
Dar es Salaam: Hii ni habari ya kipekee (Exclusive Story)! Mastaa
wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana,
Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wanadaiwa
kumwagana, Risasi Jumamosi ndilo gazeti pekee linaloweza kuthubutu
kukupa mchapo kamili.
0 comments:
Post a Comment