Sunday, January 24, 2016

1
Spikawa Bunge Mheshimiwa Job Y. Ndugai (MB) akiongoza kikaoo cha Kamati ya Uongoziya Bunge-Ofisiza Bunge Mjini Dodoma leotarehe 24 Januari 2016. Wajumbe wa Kamati ya Uongozini Wenye viti wote wa Kamati za Kudumuza Bunge.

2
NaibuSpikawa Bunge Dkt. Tulia Ackson (MB)akiwasalimiawajumbewaKamatiyaUongoziya Bunge kablayakuanzakwakikaoo.
3
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju akimsalimia Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati ya Uongozi. Kushoto ni Mwwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Dkt Mary Nagu (MB)
4
WaziriwaSera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajirana Walemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama (MB) (aliyesimamakatikati) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia).
5
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati ya Uongozi.
6
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge ambao ni Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge wakisubiri kuanza kwa kikao cha kwanza cha Kamati hiyo.
(PichanaOfisiya Bunge)

0 comments:

Post a Comment