Wakati nchini Uganda kukiendelea na kampeni za Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 18 mwezi wa februari mwaka 2016. Huku kampeni zikitarajiwa kufungwa februari 16.
mgombea uraisi anayetetea kiti hicho Ndugu Yoweri Museveni ameonekana kufuata Nyayo za Rais wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli. Hayo yameonekana katika Mikutano kadhaa ya Mh. Museveni kwa jinsi alivyokua akivaa na hata wananchi walivyokua wakimpokea. Wananchi wa Uganda wamekua wakimuita Magufuli mara kadhaa.
Tazama picha na Video za Mikutano ya Museveni.

0 comments:
Post a Comment