Wednesday, January 27, 2016


Japo naumwa nimeipenda bureee
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao, usidanganyike hakuna
mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba, ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama ww ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy pls ukiweka nicheki" umekwisha, anakueleza shida zake unasema "mpnz vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeisha, ujue ulivokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi, yani ww kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa, unamuona dem wako kasuka, kapendeza na hana kazi umekazana byb umependeza, we fala ujue mume mwenzio kaweka nguvu. so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia....hakuna dem wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda jumapili mpaka jumapili we mhonge tu uone heshima. foward kwa wakaka wote, inauma ila ndo ukweli.

Mc Love Tz
Mc Love Tz Mpk ww wasema hivyo ?
Mafinga Karibuni
Mafinga Karibuni Ni shidah
Omari Chaka
Omari Chaka Oyooo. Nikweli
Eflaim Kitumbu
Eflaim Kitumbu nkkua ntaprove
Manyanya Mkans
Manyanya Mkans Wewe Mainda Kimweli unawapotosha wenzio
Mainda Kimweli
Manyanya Mkans
Manyanya Mkans Au wewe unamwambia nani
Saraphina Sagaya
Saraphina Sagaya safi waambie, maana hawaelewi kabisa
Iledo Thomas Sanga
Iledo Thomas Sanga Maneno ya mkosaji hayo kama unaweza honga na wewe Kwa mwanaumeMainda Kimweli kumbe mnapenda kuhongwa Tu.
Like · Reply · 1 · 5 hrs
Lucas Alfred
Lucas Alfred Mh nilikuw cjui bola ulivyo nijuza
Jacklin Wilison Chacha
Jacklin Wilison Chacha atawakibisha ila ujumbe umewafikia
Mussa Unique
Mussa Unique mmmmmh kumbe
Ndi Mwa Hidumba Zabron
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Linawagusa mbona mwavimba. Mie kama mwewe nishafanya yangu huyoooooo
Jamaly Ally
Jamaly Ally Hakuna lolote msitufanya cc vi duka pumbavuuuuu! Kama biashala si mkaweke dukan
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Iledo Thomas Sanga
Iledo Thomas Sanga Uko sawa kabisa.
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Le Mutuz Nation
Write a reply...
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Hahahhahahah wapenda vya bure na kuhongwa utawaona tu. Njoo tweendeeee sisi tu naendelea kuwa tambua tu. Jitoken na wengine Wa aina hii
Jamaly Ally
Jamaly Ally Kama ndo ivo mtaendelea kuchezewa tu atuoi machoko sisi na Mimi ndio nimepata jibu kwann amuolewi
Ommy da Gama
Ommy da Gama Ndio maana cna urafiki na nyie.
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Ommy da Gama
Ommy da Gama Mnapeeeeenda michedo
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Ommy da Gama
Ommy da Gama Wapo wenye Akili zao na maarifa yao.wewe kabila lako mpenda pesaeeeh???
Jamaly Ally
Jamaly Ally Na ndio maana tunataka wanawake ambao ukiwa na shida anakusaidia akiwa na shida unamsaidia sio hawa machoko wanaotaka kuchuna tu
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Ommy da Gama
Ommy da Gama Kweli jamaly
Like · Reply · 2 · 2 hrs
Ommy da Gama
Ommy da Gama We muangalie tu.sura imekaa kupenda penda ela.mmh.
Like · Reply · 2 · 2 hrs
Raphael Melayeky
Raphael Melayeky Hiyo nikichomi
Like · Reply · 2 · 2 hrs
Ommy da Gama
Ommy da Gama Haaaaahaaaa
Like · Reply · 2 · 2 hrs
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Utapata jingine Jamaly usijali cha msingi tunajua kujitafutia shida wapi?
Like · Reply · 1 hr
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Ommy kweli napenda hela ila najitambua na naitafuta mwenyewe so hata matumizi yake nayatumia. Ila mwanaume Wa dizain hiyo lazima nikuweke dampo tu. Upo
Like · Reply · 1 hr
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Wapenda kutunzwa naendelea kuwatambua . ongezeken basi maana mnanipa rahaaaaa
Like · Reply · 1 hr
Raphael Melayeky
Emmalee Nsimbaluzi
Emmalee Nsimbaluzi msimamo ni ki2 toxha ktk mapenzi ndio maana mapenzi huona ila anayependa na anayependwa wote vipofu,mapenzi cio pexa ukitaka pesa kubali kuongwa mamilioni uyatakayo ila tu utafakari kwamba je ukipata ukimwi hayo mamilioni yatakutibu.kubali kuhongwa magari,majumba ila baadae afya itayumba
Like · Reply · 2 · 1 hr
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Majibu yanajitumbua tu. Ujumbe mzuri sana nimeupenda sana. I wish niwe napost kila siku. Mwanaume kulelewa aibu maana si jasho lako.
Like · Reply · 1 · 1 hr
Emmalee Nsimbaluzi
Emmalee Nsimbaluzi amani ya bwana iwe na wale wenye msimamo tatzo mademu huwa hawana mapenzi ya kweli akipta mwenye hera atataka maskini.Akipata sharo anatafta ambye sio je hapo mnatakaga nini??? ukimwi au
Like · Reply · 1 · 1 hr
Jamaly Ally
Jamaly Ally Muulizeni uyu ashawahi olewa kama bado sababu tushaijua
Like · Reply · 1 hr
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Sijaolewa ila sihongwi nafanya kazi nakula hela yangu. Na mwanaume anayejielewa atanielewa asiyenielewa ndo wale walelewao na wanawake. Na ndo maana huoi
Le Mutuz Nation
Write a reply...
Athumani Abdallah Mwinyimvua
Raphael Mwazyunga
Msafiri Fabian
Msafiri Fabian Mtaishia kugongwa na kila mwanaume badilikeni mapenzi sio pesa
Like · Reply · 1 · 35 mins
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Ujumbe delivered am happy more than.
Like · Reply · 1 · 32 mins
Frank Erasto
Frank Erasto labda mia ya pipi
Mainda Kimweli
Mainda Kimweli Hahahhahaha raha iliyoje kuyajua majibu na kuyatumbua hata kwa maneno. Mbona rahaaaaaa
Frank Erasto
Frank Erasto ila uzuri hata wew umenielewa...yan anaehonga anagonga na mim wa bure nagonga pia..hasara iko wapi?
Msafiri Fabian
Msafiri Fabian Kama miiliyenu mmegauza vitegauchumu wekeni matangazo
Emmalee Nsimbaluzi
Emmalee Nsimbaluzi Maneno machafu hujza upele cha msing nampa hongera xana mainda kwa kutoa somo au mada kama hii ni bora yake yey kuliko wewe unaishia kulike 2 mada za wenzako toa yako uone majb ya w2.Mwache dada angu aongeze upeo
Emmalee Nsimbaluzi
Emmalee Nsimbaluzi nitamuita mjinga kama ukishindwa wakati kinawezekana pata xmo kwa dada huyu mainda,bora aliye2lia kwani atapata meng kuliko anayejifanya anajua mwisho wa sku unaonekana mjinga,masomo uktaka ufaulu fanya upelelezi umepata faida gani kutkana wewe ukim2kana dada huyu kixa eti mwanamke bx umeji2kana mwenyewe mana hata wewe umetoka kwa mwanamke,no beeef
Douglass Cnemba
Douglass Cnemba mhh mwanamke ata akihongwa dunia mzma bax atakuwa na tamaa ya kuhongwa mbingu
Douglass Cnemba
Douglass Cnemba wanawake huwa hawardhxhw na chcht labda ktk 100 watakuwa 5 wny kujtambua

0 comments:

Post a Comment