Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya bilioni 2.
Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa.
Myweather akiwa katika jengo maarufu duniani la Burj Khalifa ambapo ndipo alipofikia.
0 comments:
Post a Comment