TAYARI
shindano limeanza kukolea, washiriki sita ambao picha zao ziliwekwa
katika ukurasa huu wiki iliyopita, watatu wamebahatika kuvuka na kuingia
raundi nyingine na wengine kutolewa.
Waliofanikiwa kuvuka ni Neema Richard, Mary Mchunguzi na Safina Iddi.
Kama ilivyokuwa wiki iliyopita, tumekuwekea picha sita za warembo wetu wapya, unachotakiwa kufanya ni kupiga kura kwa kuandika TOKA ikifuatiwa na jina la mtu anayetakiwa kutoka kisha tuma kwenda namba 0718069269.

Kwa
wewe unayetaka kushiriki, tuma picha yako bora, yenye mvuto, upige
sehemu yenye mwanga, ionekane vizuri kisha tuma kwenda namba hiyo hapo
juu.
Kumbuka
kwamba mshindi wa shindano hili atapata tiketi ya kwenda Dubai kufanya
shopping, wa pili atajinyakulia milioni moja na wa tatu laki tano.
Unasubiri nini sasa? Tuma picha zako tano, inawezekana mshindi ukawa
wewe.
0 comments:
Post a Comment