Wednesday, January 20, 2016

"@LE MUTUZ NATION STRAIGHT TALK!!;- At some point siasa zinatakiwa kufikia a Dead End, mtumzima mwenye akili timamu anaposimama na kutaka kutuaminisha WaTanzania wote kwamba eti huyu mtoto mdogo niliyesimama naye hapa
ndiye mmiliki wa UDA it calls to a very serious question kwamba wanaowalipa kuandika hayo magazeti ili kumchafua Rais Kikwete nia na madhumuni yao ni nini hasa? Maana knowing this kid as I do hata baiskeli tu hana.
 

- Huyu kijana mdogo Halfani Kikwete he is just 16, hata umri wa wa kumruhusu kisheria kumiliki Shares za kampuni kubwa kama UDA hana, Mwanasiasa wa kweli akishindwa uchaguzi hupumzika na kujitafakari amekosea wapi na kuanza kujipanga upya kwa kutotumia jina zilizomkosesha ushindi uchaguzi alioshindwa, Infact Wazungu wanasema.... ""Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results." ....katumia njia za matusi kashindwa uchaguzi bado tena yupo pale pale kwenye kununua Waandishi na kutukana watu bila sababu, MTAJIFUNZA LINI?" - Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment