Monday, January 18, 2016

Le Mutuz Nation with Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la CCM/Wazazi Taifa kushoto ni Mbunge wa Korogwe Mjini Mh. Mary Chatanda na kulia ni Mjumbe wa NEC CCM Taifa Mh. Adam Malima katika kikao hicho kilichofanyika jana Makao Makuu ya CCM Dodoma.


Le Mutuz with Mjumbe wa Baraza Mbunge wa Korogwe Vijijini Mh. Prof. Majimarefu live at Kikao.

Le Mutuz with Mjumbe wa Baraza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Eng. Masauni live at the kikao.








Le Mutuz a ride back in the Super V8 ya my Boss Mwenyekiti wa CCM/WAZAZI na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mh. Bulembo ambaye pia alikuwa Mkuu wa Msafara wa Rais Magufuli kwenye kampeni za Urais Mwaka 2015.



0 comments:

Post a Comment