Matukio ya watu kuporwa pesa kisha kuuawa na majambazi yatikisha, bodaboda zadaiwa kuwa tatizoLicha ya shamrashamra za kusherekea kuuona Mwaka Mpya wa 2016, siyo siri kwamba
maisha ya Watanzania hayako salama tena, wameanza kuishi kwa hofu kubwa kufuatia matukio ya mauaji ya raia wema ambayo yamekuwa yakifanywa na majambazi nchini kote kwa kutumia pikipiki na watu kuuawa au kujeruhiwa kwa kupigwa risasi.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment