Saturday, January 9, 2016

M1
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na balozi Namibia nchini, Mhe. Japhet Isaack ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016 kuaga.

M2
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akimkabidhi  Balozi wa Namibia nchini aliyemaliza muda wake, Mhe. Japhet Isaack  zawadi ya ramamni ya  Tanzania iliyochongwa kwenye mti wa mpingo  ili aendelee kuikumbuka Tanzania  atakapoondoka. alozi alikwendaofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 8, 2016 kuaga.
M3
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Balozi wa Tanzania  nchini, Japhet Isaack zawadi ya  kinyago cha pundamilia  ili atakapoondoka  nchini abaki na kumbukumbu  ya  wanyamapori ambao nimuhimu kwa utalii hapa nchini. Balozi huyo alikwenda Ofisini kw Waziri Mkuu jijini Dares salaam Januari 8, 2016 kuaga.
M4
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa  Finland nchini Tanzania Mhe. Pekka   Hukka  kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016.
M6
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza  na balozi wa  Finland nchini Mhe. Pekka   Hukka  kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment