•Radio inayoongoza kwa kupiga muziki wa dansi nchini ni Radio Sunrise ya Arusha ikifuatiwa na Capital FM.
•Kwa mwezi Oct-2015, Sunrise na Capital FM zimepiga nyimbo za dansi zaidi ya mara 400 kwa mwezi ambao ni wastani wa nyimbo 13 kila siku.
•Kwa mwezi Oct-2015, Sunrise na Capital FM zimepiga nyimbo za dansi zaidi ya mara 400 kwa mwezi ambao ni wastani wa nyimbo 13 kila siku.
"Hii
data inatokana na software maalum ya kampuni ya CMEA (Copyright
Management East Africa). CMEA ndio kampuni iliyosaini mkataba na COSOTA
ili ku-track miziki inayopigwa kwenye radio na TV zote nchini. Mifumo
kama hii hutumiwa na Copyright Societies zote duniani kwa ajili ya kujua
mirabaha ambayo media inapaswa kuwalipa wasanii."

0 comments:
Post a Comment