Thursday, January 28, 2016

Mbunge wa CCM Viti Maalum Njombe Mh. Neema Mgaya Leo asubuh katika kikao cha bunge nikiihoji serikali ni lini itatatua tatizo la maji katika mkoa wangu wa njombe hus usa maeneo ya makambako maji ni shida yanatoka kwa msimu kipindi cha kuangazi maji hakuna kabisa,maeneo ya njombe mjini,na maeneo ya kata za kijombe, saja na wanging'ombe , nimeshauri serikali itatue tatizo hilo mara moja ili kina mama wa mkoa wa njombe waondokane na adha ya maji..


0 comments:

Post a Comment