@Mh. Bonnah Kaluwa Mbunge WA Segerea
Jana kamaliza kugawa bure Uniform kwa Wanafunzi wote wa Primary Jimbo lake, at least bado tuna Wadada wanaojitambua in our Society na wengine wanagombea kuwa a night Stand ya Tekno! - le Mutuz Nation
Mugendi Ally Angeshinda yule wa ukawa asingeweza haya yote, hongera kwake
Samia Fumbwe Tingatinga la Jimbo la Segerea,kwakweli
huyu Mh mbunge ni mchapakazi ,tunaimani nae sana na Mungu ambariki,hata
wale waliokua wanakosa usingizi kwa kuwaza uniform za Watoto sasa
wanalala,kura yangu haikupotea.
Rahma Mkelemi Hongera mheshimiwa
Frank Levina Inapendeza sana,elimu kwanza
Rehema Mtaky Hongera nyingi kwake kwa moyo aliokuwa nao.
Fadhil Abdulkarim ahsante sana kwa mchango wako mheshimiwa









0 comments:
Post a Comment