Posted by Williammalecela.com on Friday, January 01, 2016
Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya. Malaika Band wakifanya yao. Mashabiki wakiserebuka…wakichukua matukio muhimu ya shoo hiyo kwa simu za mkononiNi hatariBella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo …shoo si ikanoga sasaBella akitamba jukwaani Mashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika Band Bella na jukwaa, Bella na mashabiki Kama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaaniMashabiki wakifuatilia shoo hiyoShabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella Dada huyu akikata mauno wkati wa shoo hiyoShabiki na Bella jukwaaniBella akiendelea kuwasha motoShabiki akimzawadia Bella Zawadi zikimiminikaShoo ikibamba Shangwe za mwaka mpyaMashabiki wakipanda jukwaaniShoo ikinogaBella akicheza na mashabiki wake Shoo ikinogaBella na mashabiki jukwaaniMashabiki wakizidi kupagwa.
0 comments:
Post a Comment