Posted by Williammalecela.com on Monday, January 18, 2016
 |
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla amefanya ziara wilaya ya Siha kwa kuweka
jiwe la msingi ujenzi wa zahanati kijiji cha Mese na maabara sekondari
ya Kilingi Aidha amefanya kikao na Kamati ya Ulinzi na usalama,
madiwani, watendaji kata, waratibu Elimu kata na watendaji wa Vijiji na
kuelekeza yafuatayo 1. Kuhusu migogoro ya ardhi iliyoopo wilaya ya
siha inayohusisha wilaya ya Siha na wilaya za Arumeru na Longido( mkoa
wa Arusha) serikali ya Mkoa was Kilimanjaro umeshauomba uongozi wa
Arusha wakutane maeneo ya migogoro kumaliza migogoro hiyo 2. Kuhusu mashamba yasiyoendelezwa mkoa unapendekeza kwa Waziri mwenye dhamana kufuatia hati wamiliki wasiyoyaendekeza 3.wananchi kuheshimu sheria za nchi kwa kutovamia mashamba ya watu wengine wanaomiliki kihalali |
0 comments:
Post a Comment