Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amefanya mkutano hadhara kata ya Gararagua kuhusu Mgogoro wa kuuzwa kwa shamba la Gararagua na kuagiza
. Amesitisha kwa muda mpango wa kuuzwa kwa shamba La Gararagua mpaka atakapofanya mawasiliano na Waziri wa Ardhi kujiridhisha utaratibu uliofanywa na mkutano wa Kncu na mrajisi wa ushirikaShamba Lina ukubwa wa ekari 2,420. Amewataka wananchi kuheshimu sheria za nchi na kutambua kuwa mmiliki halali wa shamba ni Kncu



0 comments:
Post a Comment