Msanii wa Nigeria Waje amesema ndoa sio mafanikio ‘Marriage Is Not An Achievement’. Waje Iruobe ambaye anaaminika kuwa msanii wa kike mwenye uwezo wa kutumia sauti yake vizuri zaidi Nigeria amesema
“Marriage is not an achievement but a commitment,” and should be shared equally between both parties in love. 50/50 doesn’t mean men should start wearing make-up. It means men should treat women with respect.”
Akimaanisha “Ndoa sio mafanikio ila ni kujitoa na kuwa tayari kuwa na mapenzi pande zote mbili, 50/50,simaanishi wanaume waanze kujipaka urembo, na maanisha wanaume waishi kwa heshima na wanawake”
0 comments:
Post a Comment