Friday, January 15, 2016

beyonce
Picha mbili zilizopigwa wakati tofauti zimezidi kuchochea uvumi kuwa msanii wa Rnb Beyoncé na Jay Z wanategemea mtoto wa pili. Moja ilipigwa wakati wanatoka kwenye tuzo za Golden Globes.

 0111-jay-z-beyonce-splash-4-1
beyonce-christmas

0 comments:

Post a Comment