Friday, January 1, 2016


Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pande za  Mwanza, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 walioamua kwenda kutoa burudani ya nguvu kwa majirani zao wa Kenya. Yomoto Band walidondosha burudani pande za Mombasa Kenya. Yamoto walipiga show ya hit singles zao zote na kuukaribisha mwaka mpya na mashabiki wao wa Mombasa.

IMG-20160101-WA0011
IMG-20160101-WA0020
IMG-20160101-WA0018
IMG-20160101-WA0013
IMG-20160101-WA0014
IMG-20160101-WA0015 (1)
IMG-20160101-WA0016
IMG-20160101-WA0017
IMG-20160101-WA0012

0 comments:

Post a Comment