Tuesday, January 19, 2016

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016
  Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan 
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016

0 comments:

Post a Comment