Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akizungumza na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Kituo cha Utamaduni wa Iran hapa nchini Bw. Ali Bagheri alipomtembelea ofisni kwake leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akifurahia jambo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Kituo cha Utamaduni wa Iran hapa nchini Bw. Ali Bagheri alipomtembelea ofisni kwake leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akikabidhiwa zawadi ya Kitabu cha mashairi ya Iran na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Kituo cha Utamaduni wa Iran hapa nchini Bw. Ali Bagheri alipomtembelea ofisni kwake leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija,WHUSM



0 comments:
Post a Comment