Posted by Williammalecela.com on Monday, January 04, 2016
Wananchi
waliokumbwa na ‘bomoabomoa’ katika maeneo mbalimbali jijini Dar es
Salaam wamevamia shamba la waziri mkuu wa zamani, Frederick Sumaye lenye
ukubwa wa hekari 33 lililopo katika eneo la Mji mpya, Mabwepande na
kujigawia maeneo.
0 comments:
Post a Comment