Friday, January 1, 2016


davido-and-sophie
Pamekuwa na stori tofauti kutoka Nigeria kuhusu ugomvi kati ya Davido na mama wa mtoto wake wa kike ‘Aurora Imade Adeleke’.

Kwa mujibu wa Naij.com inasemekana Mama wa mtoto wa Davido amepokonywa mtoto huyo na familia ya Davido na kufukuzwa kwenye nyumba ya familia hio huku akitishiwa na polisi asirudi tena hapo.
Mama wa mtoto wa Davido ‘Sophia Ajibola Momodu’ ameomba mahakama izuie kitendo cha familia ya Davido cha kutaka kumtorosha mtoto wake na kumpeleka Marekani.

0 comments:

Post a Comment