Tuesday, January 5, 2016

LULU211


Staa mrembo wa Bongo Movies anayependwa na wengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewapasha mashabiki wake mtandaoni kuwa wanavyozidi kumwagia misifa kwa urembo wake wanasababisha ajione kuwa yupo juu sana wakati yeye ni wakawaida.

“Mnajua mkiniongelea Sana mnanipa Bichwa Mwenzenunaanza kuona Kama bila mm vitu haviwezekani hiviMsinifanyie hvyo…Najikuta MATAWI mwenzenuwakati Sina lolote”-Lulu

0 comments:

Post a Comment