Thursday, January 14, 2016


Super Mogul Bilionea Davis Mosha jana alitembelea ofisi za Blog hii downtown bongo akifurahia kurasa tatu zinazomuhusu katika kitabu maalum cha mapambano ya uchaguzi Mwaka jana 2015 kwa kupitia mitandao ya kijamii chenye kurasa 360 kilichoandikwa na The King Of All Bongo Social Media Le Mutuz Nation na kukabidhiwa Viongozi wote wakuu wa Taifa wa CCM, akiwemo juu Makamu wa Rais Mama Samia. Bilionea Davis Mosha ambaye aligombea Ubunge wa Moshi Mjini, hivi karibuni alinunua kampuni kubwa ya mafuta East Africa Kobil na pia amenunua gari ya ajabu aina Roys Rolls yenye thamani ya USD $500,000.




0 comments:

Post a Comment