Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 16, 2016
Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’.
Mwandishi Wetu,
Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa
mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ kwani kuna taarifa zinadai kuwa mwigizaji
huyo amenasa mimba ya kigogo serikalini.
0 comments:
Post a Comment