Kwa
mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo linalofanywa na makabila mengi ya
Afrika, lilijiri Ijumaa iliyopita mjini Jinja, nchini humo na
kuhudhuriwa na wana ukoo wa Zari, wakiwemo pia wajomba huku bibi Zari
akiwa ndiye mwenye shughuli hiyo kwa kusaidiwa na mwanaye, bibi Tiffah
ambaye pia ni mama mzazi wa Zari, Halima Hassan.
Monday, January 11, 2016
Posted by Williammalecela.com on Monday, January 11, 2016
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahaha Tanzanian newpapers are the winner in exaggerating things.That's matooke in banana leaves ati goat's meat.Did u see the goat being slaughtered? Actually there is no such custom amongst the basoga.
ReplyDelete