Mwimbaji wa muziki wa bongo fleva anayeelekea kuwa msanii wa kimataifa Shilole ameweka wazi nipango yake iliyompeleka Afrika Kusini hivi karibuni.
Shilole anasema “Nilienda Afrika Kusini kufanya nyimbo na producer Mr Kamera na huko nikakutana na Dj Maphorisa, nimefanya wimbo tofauti ni club banger, tusubiri kuisikia soon“.
Pia kuhusu mahusiano yake na rapa Bilnass na kwamba je ni wapenzi, Shilole amekanusha nakusema “Kila mwanaume naye mpost instagram watu wanadhani ni shemeji,sio kweli, mkimtaka shemeji nitamtaja”
Hapa Shilole akiwa studio Afrika Kusini “Studio Time now with my no 1 engenear from #johannabasford @mrkamera 







#sayMyNameShISHI $& ”
Kuhusu issue ya kuongeza tattoo kila wakati Shilole anasema ni kama majini, kila anapojiskia kuweka tattoo anashindwa kujizuia, hata Lil Wayne ana tattoo mpaka machoni
0 comments:
Post a Comment