Rapa kutoka Afrika Kusini ambaye mwaka 2015 alifanya collabo na mtanzania Joh Makini ameweka wazi mahusiano yake na Bonang Matheba.
Aka ameonekana na staa huyu wakila bata refu nchini Mozambique. Picha ya Bonang Matheba akiwa amevalia bikini ni miongoni mwa picha zilizosamba mitandaoni kuhusu stori hii.
AKA ana mtoto mmoja na DJ Zinhle.
0 comments:
Post a Comment