Kwa Wasomaji wetu wote wa "Blogu ya Wananchi" napenda kuwaomba radhi kwa usumbufu mkubwa ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara for the last Two Weeks ni kwamba Mafanikio na Maendeleo ya this Blog yameanza kuwaogopesha baadhi ya waliokuwemo kwenye this Blogging business kwa Miaka mingi kabla yetu ambao tumekuwa in this business for only 3 years now. So kumekuwa na mashambulizi ya Technicality kutaka kuivuruga hii Blog, lakini naomba kutoa Sukrani kubwa sana kwa Wafanyakazi 2 wa this Blog Jackson and Charls, kwa kupigana usiku na mchana kuhakikisha Blog ipo na inasomeka ingawa kuna wakati wanazidiwa kidogo, lakini ninawaahidi kwamba sasa hivi tupo kwenye process ya kuibadilisha kabisa hii Blog Technically kuhakikisha inakuwa stable permanently. Na habari njema ni kwamba tunajitayarisha kwa Sherehe kubwa sana za this Blog kutimiza Miaka 3 toka niianzishe, Mwaka 2012 mpaka kufikia leo. Nilianza na mtaji wa USD $ 500 tu ambazo niliztumia kununua Laptop at GMO Clocktower karibu na Mnazi Mmoja, nilianza mimi mwenyewe kwa kufanya kazi usiku na mchana tukiwa na Viewers 200 wiki ya kwanza. Leo 3 years after "Blogu ya Wananchi" ni Official Government registered Media Company ambayo according to the Google Blog's Worth Evaluation in USD :-
"williammalecela.com is worth USD 61,560.00 * Website ...
www-firma.eu/williammalecela.com
Sep 23, 2015 - It is estimated worth of USD 100,560.00(TSH. 225M) and have a daily income of around USD 114.00."
na pia tumetoa ajira kwa Vijana 4 wenye Elimu ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania, na leo tunawafikia Viewers kuanzia 50,000 mpaka 70,000 na 100,000 kwa siku. Na inakubalika na Wasimamizi wote wa Mitandao ya Kijamii Tanzania kwamba Blog yetu ndio namba moja kwa kuangaliwa sana na Wabongo walioko nje ya Nchi yetu, wakiongozwa na Wabongo walioko USA, UK na kufuatiwa na South Africa. Blog ya Wananchi Media LTD. leo Miaka 3 baada ya kuanzishwa ni chombo cha habari kama Kampuni inayowafikia watu 500,000 kwa siku kwa kupitia vyombo vyake at Social Media kama Facebook, Twitter, Blog, Facebook Page na Instagram. Tulianza na Matangazo ya Biashara toka Kampuni ya Delina lakini leo tunayo Makampuni mengi mbali mbali mpaka nje ya nchi like Mbet Inc. na Emirates ambayo yanatuamini at our Social Media outlets kutangazia biashara zao ambayo kwetu ni hatua kubwa sana ya maendeleo ya binafsi na impact kwa jamii kuanzia Ajira kwa vijana wetu waliomaliza Vyuo Vikuu vyetu na habari kwa ujumla kwa Taifa. Na pia in future ni kwamba ninaingia kwenye uwekezaji wa Radio na TV Station ambapo soon kwa kushirikiana na Delina Inc. so ninategemea kuipanua zaidi kampuni hii na kuwa chombo kikubwa chenye faida kwa Taifa na binafsi zaidi ya sasa. Again naomba kuwashukuru Wananchi na Viewers wote wa this Blog ambao mmekuwa mkituunga mkono kwa njia mbali mbali na kwa hali na mali. Again ninawakaribisha sana wote kushiriki kwenye Sherehe zetu za kutimiza Miaka 3 toka kuanzishwa kwa this Blog zitakazofanyika katika Ukumbi wa City Sports Lounge Tarehe 27/2/2016 siku ya JUMAMOSI.
Thank you Guys and A Luta Continua!!
Le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment