Posted by Williammalecela.com on Monday, January 25, 2016
 |
| Le Mutuz Nation - Alichosema Mh. Membe ni HOJA so ajibiwe kwa HOJA, na sio personal attacks. |
 |
| A qoute from Chairman Mao Tse Tung:- "Ukiona watu wawili wanakubaliana kwa kila kitu na wakati wote, ujue aidha mmoja wao ni mgonjwa au wote wawili sio wazima" |
Let's be honest.Hivi Membe alikuwa anamuaddress nani kwenye media? Raisi,serikali au chama kilichomweka raisi madarakani? Hivi kwa level ya Membe ameondoka magazeti ndio proper channel ya kuelezea udhaifu au mapungufu ya serikali?
ReplyDeleteSo inshort kama anahitaji kujibiwa kwa hoja basi aende State house au Lumumba.Serikali au Ccm haiwezi kumjibu through magazeti.