Thursday, January 7, 2016

@LE MUTUZ NATION STRAIGHT TALK!!:- The Word mjini hapa ni Bomoa Bomoa tu, I mean straight to the point tunataka Maendeleo na RESPECT TO THE RULE OF LAW tumeishi hovyo hovyo kwa muda mrefu sana, Rais Magufuli ni binadam mwenye mazuri na mapungufu ingawa mapungufu ya Bomoa bomoa ni JUSTIFIED na NAYAUNGA MKONO KWA 100%, guys ni kwamba hapa mjini hakuna ambaye hajakumbwa na MAUMIVU ya mabadiliko ya Magufuli in one way or another na atakayekataa ni muongo na mnafiki wa ajabu sana wote tumekumbwa na mabadiliko ila kwa syle na level tofauti now kuna wanaopiga kelele na kuna tusiopiga kelele lakini tumekubali kwamba maumivu tunayoyapitia na this change ni muhimu sana kwa the good of the public at large in the future. Cha muhimu sana kwenye hili zoezi ni Wananchi kujifunza kuheshimu Sheria za Jamhuri, Wazungu wanasema "Ignorance of Law is not an excuse to break the Law" Ninaomba kusema bila kuchanganya maneno hakuna mwananchi yoyote aliyenunua hayo maeneo ambaye hakujua kwamba alikuwa anavunja sheria na kwamba alikuwa ananunua eneo ambalo sio sawa kisheria now it was only a matter of time kabla Sheria haijaja kuchukua mkondo wake. For sure tunawaonea huruma sana lakini Bomoa Bomoa ni lazima ifanyike now kuliko later nothing is personal here ila ni Mabadiliko na Maendeleo ya Taifa!! - le Mutuz Nation

Hizi ni baadhi ya nyumba zilizojengwa maeneo yasiyokubalika Kisheria na yatabomolewa now.

Bomoa Bomoa ikiendelea mjini bongo now!!

0 comments:

Post a Comment