Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali ya Uganda, inaikosoa serikali kwa matumizi mabaya na wizi wa mabilioni ya pesa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita...,
Akiwasilisha
ripoti hiyo kwa spika wa bunge, mkaguzi mkuu wa serikali John Muwanga,
amefichua kwamba serikali imepoteza zaidi ya shilingi trilioni 5 kupitia
mazigira yasiyoeleweka.
Wiara ya serikali
za mitaa hasa imelaumiwa kwa utumizi wa zaidi ya shilingi bilioni tatu
kwa miradi ambayo haikuwa kwenye bageti,huku bilioni 635 zikishukiwa
kuwekwa kwenye akauti za kibinafsi.
0 comments:
Post a Comment