Najua masikio ya wengi yalikaa attention kusikia hii collabo ya wakali wawili, AY naDiamond Platnumz… ‘Zigo’ remix, kazi imekamilika.
AY kasema amefanya tayari mzigo wa video na leoleo itakuwa hewani.. video imefanywaSouth Africa na kampuni ya jamaa ambao wamefanya kazi nyingine za wakali wengine wa South Africa ila hawajafahamika sana kama Director Godfather na wengine, ila jamaa ni mkali vilevile.
0 comments:
Post a Comment