Saturday, February 13, 2016

Baba wa staa wa muziki Diamond Platnumz, Abdul Juma amedai Wema Sepetu ndiye mwanamke pekee ambaye mwanae Diamond aliweza kumtambulisha kwake kama mpenzi
wake.Akizungumza katika kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV, Mzee Abdul alidai Diamond alimtambulisha Wema kwake pamoja na kumvalisha pete. 

0 comments:

Post a Comment