Wednesday, February 10, 2016




"Pole kwa wafiwa wote waliopoteza ndugu zao leo pale bugurun shel baada ya lori lenye kontena kuangukia daladala
sitaki kuamin hii ni mipango ya mungu ni uzembe wa binadamu...nina uzoefu kidogo wakutoa makontena kurasin..kwa kweli zile lori zinazosambaza makontena hapa dar es salaam zina hali mbaya sana zimechoka na hazina hata taa zakuonyesha inasimama au inakata kona,cha ajabu hizo lori niza wakubwa serikali hazikamatwi na trafik kamwe,mandela road ni hatar mana ndo yamejaa haya malori chakavu..nlishuhudia pale kurasin Bedford ikiwashwa na dawa ya mbu ya rungu na ilitoa mzigo wetu mpaka mikocheni kwenye yard hakuna polis aliyeipiga mkono..." - Malik


0 comments:

Post a Comment