Posted by Williammalecela.com on Thursday, February 11, 2016
Watu kadhaa wamejuruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Simba Mtoto na Lori la mizigo, Korogwe Mkoani Tanga, watu
kadhaa (idadi bado haijajulikana) wabahofiwa kupoteza maisha.
Kamanda wa Polisi Mkoani humo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

0 comments:
Post a Comment