Tuesday, February 16, 2016


 Mh Rais ameagiza jeshi la polisi kushika jukumu la ulinzi kwenye bandari hii ni katika jitihada za
kudhibiti wizi bandarini!
Mtakumbuka jukumu la ulinzi hapo nyuma lilikuwa chini ya jeshi la polisi lakini wakapewa TPA na sasa Rais ameamua kuwa jeshi la polisi liwe na jukumu ya kulinda bandari na mali zake!
Pia kule kwenye mafuta na Flow meter pia jeshi la polisi limekabidhiwa jukumu la ulinzi!
Source : EATV HABARI

0 comments:

Post a Comment