Moja ya stori kubwa zilizokamata kwenye mitandao ya kijamii feb 17 2016 ilikuwa ni post ya mrembo wa bongo, Wema Sepetu. Wema aliandika maelezo kuhusu kuharikika kwa mimba yake.
Full stori nimekuwekea pia kwenye hii sauti ikiwa ni pamoja na interview niliyowahi kufanya na Idris Sultan
0 comments:
Post a Comment